CCM HOYEE..
Naitwa KISSA J. MWAMASO. Napenda kuwapa pole viongozi wa ccm mkoa wa manyara wote na wanachama kwa ujumla pia kwa taifa letu.
Kwa kumpoteza mtendaji wetu marehem dada yetu mchapakazi hodari EDNA kilichotokea hv karibu.
Nawapa pole watumishi wenzake hasa kwa kipindi hiki kigumu cha majonzi mazito na simanzi kubwa tuwe wavumilivu wakat hu mgum kwan Mungu bado ni Mungu tu ashukuriwe kwa kila jambo.
Dada yetu atakumbukwa kwa mengi aliyoyafanya mazuri na ya kuigwa alikua mtu wa watu,mchapakazi, mpenda aman, mcheshi, asiyenadharau chama chetu kimepata pengo kubwa sana ambalo limetikisa mkoa wetu kwa ujumla
Tumepoteza nguvu kazi ya chama kwa wakati ambao bado tulimwitaji sana kuyatekeleza majukum yake kwa manufa na maendeleo ya chama, mkoa na Taifa kwa ujumla.
Atakumbukwa daima tuyaenz mema alofanya Mungu ampumzishe dada yetu kwa amani.Bwana ametoa bwana ametwa jina la bwana lihimidiwe apumzike aman. AMEN
Maoni
Chapisha Maoni