RC MNYETI ATOA YA MOYONI MBELE YA JPM

“Mhe. Rais; Utakayoyafungua TANZANIA 🇹🇿, yatakuwa yamefunguliwa MBINGUNI..MUNGU akubariki sana.

Unatupa urahisi sisi wasaidizi wako huku chini.. kuna muda hata ukitaka kutoroka ofisini kabla ya wakati.. ukigeuka ukaangalia ukutani sura yako (Sura ya Mhe. Rais katika Picha maalum ya serikali) unaogopa inabidi ukae uendelee KUCHAPA KAZI...

Serikali hii sasa inaonyesha mwanga na maendeleo ya Nchi hii tutafika mahala lazima tukubaliane..wewe ni jembe!..

Mhe. ALEXANDER MNYETI,”

Mkuu wa Mkoa wa Manyara 27/04/2018; Kondoa, Dodoma

Maoni