HEKMA ZA ALLAH NI KUBWA SANA ONA UTUKUFU WAKE

HEKMA ZA ALLAH NI KUBWA SANA ONA UTUKUFU WAKE:
Pande kuu za Dunia ni 4
MASHARIK
MAGHARIB
KUSINI
KASKAZINI
Mitume waliozaa mitume wako 4
ADAM
NUHU
IBRAHIM
YAKUB
Vitabu vitukufu viko 4
TAURAT
ZABUR
INJIL
QUR'AN
Maswahaba wakuu ni 4
ABUBAKAR
OMAR
OTHMAN
ALLY
Malaika wakuu wapo 4
JIBRIL
MIKAIL
ISRAFIL
IZRAIL
Wanawake watukufu wako 4
MARIAM
KHADIJA
ASIA
FATMA
Miezi mitukufu ni 4
RAJAB
SHAABAN
RAMADHAN
DHUL-HIJJA
Pia kahalalisha mwanamme aoe wanawake 4
"TAKBIR. Mtu akifa hufanyiwa mambo 4 HUKOSHWA, HUVISHWA SANDA ,  HUSALIWA na HUZIKWA, basi tafadhali tuma kwa waislamu na wao pia wapate faida

Maoni