Wadau waendelea kuunga mkono Wilaya ya Same
kumaliza tatizo la mimba kwa wanafunzi.
Shirika la Empower Tanzania laanzisha mafunzo kwa walimu wa malezi na wanafunzi yanayolenga kuwaongezea wanafunzi uwezo wa kujitambua na kujithamini.
DC Same Mh. Rosemary Senyamule awashukuru wadau kwa kutumia vizuri matokeo ya uchambuzi kwa wanafunzi wa kike na kutoa wito kwa wadau kuendelea kushiriki juhudi hizo.
" Binti Jitambue, Jithamini, Soma kwanza"
Maoni
Chapisha Maoni