Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilayani Babati Abdilahi Mdoe, akiongoza wajumbe wa kamati ya Siasa kukagua miradi ya maendeleo
Kata zilizofikiwa ni Magara, Kisangaji, Mwada, Magugu na Nkait ktk Halmashauri ya Wilaya ya Babati
Pia wametembelea miradi ya Afya, Elimu na kushauri wananchi kuchangia shughuli za maendeleo ili miradi hiyo iweze kukamilika na kutumika.
Maoni
Chapisha Maoni