MIRADI YA BENKI NA CHANGAMOTO ZA MAJI VIJIJINI

Huyu ni mmoja wa akinamama wa Kijiji cha Sunya Kata ya Sunya Wilayani Kiteto Mkoani Manyara akiteka maji kwaajili ya matumizi ya nyumbani

Akizungumza na MwanganaMatumio  mwanamama huyu anasema baada ya Benki ya Dunia kuwekeana mikataba na Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto kuhusu maji  hakuna jitihada zinazoonekana za kutafuta ufumbuzi wa tatizo hili na sasa wamekata tamaa na kuamua utumia maji ya korongoni

Maoni