NDEGE YAANGUKA KITETO

Ile ndege iliyokuwa ikitoa huduma za chanjo kwa mwezi mara moja Wilayani kiteto katika kata ya makame imeanguka wakati ikiruka ikuwa na abiria watano

Kwa mujibu wa mashuhuda hakuna aliyefariki pamoja na kuwa ndege hiyo imeharibika vibaya baada ya kuparamia miti kama unavyoona hapa

Majeruhi wako Arusha kwa matibabu kabla ya kupelekwa kwao

Maoni