Baada ya kufanyika hujuma kuchomwa bweni la shule ya kimataifa ya Lalakir Kiteto Kikundi cha akina mama wa mafichoni cha UPENDO waka waliamua kwenda kutoa msaada wa Blanketi kama wanavyoonekama wakimkabidhi afisa Elimu Wilaya Emmanuel Mwagala msaada huo.
Maoni
Chapisha Maoni