ZIARA YA PINDA HAIKUZAA MATUNDA KITETO Aprili 13, 2014 Pata kiungo Facebook X Pinterest Barua pepe Programu Nyingine Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiwa Wilayani Kiteto katika moja ya vikao na wananchi juu ya migogoro ya ardhi ambapo watu 16 waliuawa na kikundi cha watu wachache wanaodaiwa kufanya uhalifu huo kwa maslahi yao binafsi Maoni
Maoni
Chapisha Maoni