RC Manyara na uzinduzi wa miradi Kiteto Juni 09, 2015 Pata kiungo Facebook X Pinterest Barua pepe Programu Nyingine Mkuu wa Mkoa wa Manyara Dr Nkaya Joel Bendera akizindua mradi wa maji chini ya ufadhili wa Benki ya Dunia katika kitongoji cha Kona kijiji cha Kijungu Wilayani Kiteto hivi karibuni Picha na Mohamed Hamad Manyara Benedict Ole Nangoro Mbunge wa Jimbo la Kiteto akisisitiza jambo kwenye uzinduzi wa maji kijiji cha Kijungu Picha na Mohamed Hamad Manyara Katibu wa CCM wilaya Abeid Maila akimsikiliza kwa makini mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa Emmanuel Papiani wakati wa uzinduzi wa maji Kijiji cha Kijungu Picha na Mohamed Hamad Manyara Maoni
Maoni
Chapisha Maoni