MICHAEL LEPUNYATI ATANGAZA NIA KUGOMBEA KATA YA NAMELOCK KITETO

KATIKA KIKAO HICHO LEPUNYATI ALIWAAMBIA WANANCHI HAO KWA MUDA MREFU KATA HIYO IMEKUWA NA MIGOGORO KUTOKANA NA KUKOSEKANA KWA VIONGOZI MAKINI NA KUSEMA ANATARAJIA KWENDA KUONDOA TATIZO LA MIGOGORO HIYO KATI WA WAKULIMA NA WAFUGAJI

Maoni