WANANCHI WA MTAA WA NAMANGA ULIOPO KIJIJI CHA MATUI KATA YA MATUI
WILAYANI KITETO MKOANI MANYARA WAMEJENGA SOKO LA THAMANI YA TSH MIL 65 KWA
LENGO LA KUWAONDOLEA ADHA YA KUKOSA AJIRA VIJANA SAMBANA NA KUONDOKANA NA ADUI
UMASKINI
AKIZUNGUMZA MBELE YA MKUU WA WILAYA YA KITETO SUFIANI
IBRAHIMU MWENYEKITI WA UJENZI WA SOKO HILO ALISEMA HATUA ILIYOBAKIA NI
KUMALIZIA UJENZI HUO KWA KUMWOMBA MKUU WA WILAYA YA KITETO KUSAIDIA UJENZI WA
CHOO
ALISEMA GHARAMA ZA UJENZI HUO ZIMETOKANA NA MICHANGO YA
WANANCHI WENYEWE NA KUITAKA SERIKALI KUWAUNGA MKONO ILI WAWEZE KUFIKIA MALENGO
WALIOJIWEKEA KUONGEZA AJIRA KWA VIJANA
AKIZUNGUMZA NA DIRA KIDAWA OTHMANI DIWANI WA KATA YA MATUI
ALISEMA HATUA YA WANANCHI HAO KUJENGA SOKO LAO IMETOKANA NA SIASA KUINGILIA
UTENDAJI NA KUSABABISHA TASAF KUSHINDWA KUJENGA SOKO LILILOKUWA LIMEIBULIWA NA
WANANCHI MIAKA YA HIVI KARIBUNI
WAFANYA BIASHARA HAO WALIMTAKA MKUU HUYO WA WILAYA KUKEMEA
JITIHADA ZA KISIASA ZINAZOWEZA KUHARIBU MALENGO YAO AMBAYO WAMEJIWEKEA ILI
WAWEZE KUKABILIANA NA UMASKINI ULIOWAKABILI KWA MIAKA MINGI
AKIZUNGUMZA NA WANANCHI HAO KANALI SAMUEL NZOKA MKUU WA
WILAYA YA KITETO ALIWAPONGEZA WANANCHI WA MTAA WA NAMANGA KWA MAONO HAYO
AKISEMA NI JAMBO LA KUIGWA NA MAENEO MENGINE
ALISEMA SERIKALI IKO NAO PAMOJA NA KUAAHIDI KUWA
ATASHIRIKIANO NAO KATIKA MPANGO HUO HUKU AKISEMA HAKI IZINGATIWE NA WAFANYA
BIASHARA HAO KATIKA HUDUMA BADALA YA KUJILIMBIKIZIA MALI ILIYOHALALI
MWISHO
KWA KUWEKA JIWEA LA UZINDUZI MBALO LIMEJENGWA KWA NGUVU YA
WANANCHI KWA THAMANI YA TSH MIL 65
AWALI HILO ALIMWELEZA MKUU HUYO WA WILAYA KUWA LENGO LA
UJENZI HUO NI KUTENGENEZA AJIRA KWA VIJANA ILI WAWEZE KUPAMBANA NA ADUI
UMASKINI
ALISEMA HATUA ILIYOFIKIWA NI YA UKAMILISHAJI WA SOKO HUKU
AKIOMBA MKUU HUYO WA WILAYA KUWASAIDIA UJENZI WA CHOO CHA SOKO AMBAO KWA SASA
HAWANA FEDHA
KWA MUJIBU WA DIWANI WA KATA YA MATUI AKIONGEA NA DIRA
ALISEMA HATUA YA UJENZI HUO IMETOKANA
Maoni
Chapisha Maoni