NA.MOHAMED HAMAD
JESHI la polisi wilayani kiteto mkoani Manyara linamtafuta Paulo Mahinda 40 kwa tuhuma za kumuua mke wake Mariam Samweli 43 kwa kumpiga kwenye paji la uso kwa nyundo
JESHI la polisi wilayani kiteto mkoani Manyara linamtafuta Paulo Mahinda 40 kwa tuhuma za kumuua mke wake Mariam Samweli 43 kwa kumpiga kwenye paji la uso kwa nyundo
Tukio hilo limetokea katika kijiji cha ndaleta wilayani Kiteto baada ya wanandoa hao kuhitilafiana na ndipo mwanaume huyo akakasirika na kupiga mke wake kwa nyundo usoni
mtuhumiwa amekimbia kusiko julikana huku mwili wa marehemu ukiwa umekabidhiwa kwa maziko yaliyofanyika mjini kibaya
Maoni
Chapisha Maoni