Msimamizi wa Uchaguzi Bosco Ndunguru akimpongeza Emmanuel Papian muda mfupi baada ya kutangazwa msindi katika Jimbo la Kiteto Picha na Mohamed Hamad
Wafuasi wa CCM kiteto muda mfupi baada ya kutangaziwa matokeo
MJUME wa Halmashauri Kuu ya
CCM Taifa Emmanuel Papiani ametangazwa kuwa MBUNGE wa Jimbo la Kiteto, baada ya
kuwashinda wapinzani wake watano waliokuwa kwenye kinyanganyiro HICHO
Bosco ndunguru ni msimamizi
wa UCHAGUZI wa JIMBO LA Kiteto katika matokeo hayo msimamizi wa UCHAGUZI
anavitaja vyama vya siasa vilivyoshiriki katika UCHAGUZI mwaka huu kuwa ni CCM,CHADEMA,
SAU, ACT WAZALENDO, NCCR MAGEUZI,NA CUF
Idadi ya waliojindikisha katika
daftari la kudumu la wapiga kura 110,217,waliopiga kura 75195,kura halali 73152
zilizoharibika 2043
Hata hivyo matokeo hayo
hayakuweza kuridhiwa na Kidawa Othmani Iyavu mgombea wa chadema akisema kuwa
ataenda mahakamani kuyapinga
Wengine waliridhika akiwemo
wakala wa CUF, NA mgombea wa ACT,huku mashaka saidi fundi wa SAU na Kilani
Kimwaka wakisusa kutofika kwenye chumba cha kujumlisha matokeo
Maoni
Chapisha Maoni