DK MAGUFULI ATESA DAR, AFURAHISHWA KULAKIWA NA WAFUASI WA VYAMA VYOTE
Mgombea
urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akipungia mkono kuwaaga
wananchi baada ya kumalizika kwa mkutano wa kampeni za CCM katika
viwanja vya Shule ya Msingi Bunju A, Jimbo la Kawe, Dar es Salaam
Dk
Magufuli akiondoka kwenye viwanja hivyo huku ulinzi ukiwa umeimarishwa
kwenye viwanja vya Shule ya Msingi Binju A, Jimbo la Kawe, Kinondoni Dar
es Salaam.
Wananchi wa Kata ya Mlandizi, Jimbo la Kibaha Vijijini, wakishangilia kwa furaha baada ya kumuona Dk Magufuli.
Maoni
Chapisha Maoni