ELIMU MAENEO YA VIJIJINI BADO NI TATIZO.. Oktoba 23, 2015 Pata kiungo Facebook X Pinterest Barua pepe Programu Nyingine Wanafunzi hapo chini ni wa Kijiji cha Engusero sidani Kiteto Manyara Darasa moja husomwa na wanafunzi wa darasa la tano na la sita kama inavyoonekana hapo walionyoosha mikono ni darasa la tano na hao wengine ni darasa la sita shule ya msingi Engusero sidani Picha na Mohamed Hamad Madarasa ya chini ya miti imedaiwa kuwa ni fasheni sasa hapa ni kijiji cha Engusero sidani wilaya ya Kiteto wanafunzi wakiendelea na masomo Picha na Mohamed Hamad Maoni
Maoni
Chapisha Maoni