FINCA Kiteto watoa msaada wa kijamii

Abdul Msonde Afisa mahusiano wa FINCA Kiteto akizungumzia siku ya kumwezi Hayati Mwalimu Nyerere alisema wametoa vifaa katika soko la mji wa Kibaya vya thamani ya laki tano kwaajili ya kufanyia usafi,...kuufanya mji kuwa safi
Alisema mbali na kazi zinazofanywa na FINCA ndani ya jamii hiyo zikiwemo zile za kifedha amewataka wananchi kutumia fursa hiyo kujinufaisha kwa kujiongezea kipato kwa kukopa kadiri wawezavyo ili mradi wafuate sheria na taratibu

Maoni