HOSPITALI YA MACHO ADK KITETO NA JITIHADA WA KUONDOA UPOFU WA MACHO Oktoba 19, 2015 Pata kiungo Facebook X Pinterest Barua pepe Programu Nyingine MGONJWA WA MACHO AKIENDA HOSPITALI YA MACHO ADK KITETO KWA TATIZO LA UPOFU WA MACHO Mgonjwa wa macho akifanyiwa uchunguzi na wataalamu wa macho wa ADK KITETO Sas Saraweki Mberwa akiwamfungua mmoja wa wagonjwa bandji mara baada ya kufanyiwa operesheni katika kituo cha ADK KITETO Baadhi ya wagonjwa wa macho waliofanyiwa operesheni katika kituo cha macho Kiteto ADK Anglikan Diyosisi of Kiteto, watu hawa hawakuwa wanaona kabisa lakini sasa wanaona na kuendelea na shuhuli zao picha na hisani ya ADK Kiteto Maoni
Maoni
Chapisha Maoni