Wananchi wa Lulanzi wakimpongeza Venance Mwamoto katikati baada ya kushinda Ubunge jimbo la Kilolo
..............................,,,,,,,,,,,,
Matokeo
ya Ubunge kilolo Venance Mwamoto ( ccm ) ashinda kwa kura 45225 sawa
na asilimia 57.16 , Bryson Kikoti ( Chadema ) 32926 sawa na asilimia
41.61,mwaka Mgimwa ( chausta ) 236 asilimia 0.30,Omary Mtuga ( ACT)739
sawa na asilimia 0.93 Jumla ya wapiga kura 110,458 walijiandikisha
waliopiga 79128 asilimia 100.00
Maoni
Chapisha Maoni