MOHAMED HAMAD
MWAPACHU NI NANI?
Mwapachu alizaliwa Septemba 27, 1942 jijini Mwanza, na amewahi
kuteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Machi 24, 2006
na Rais Jakaya Kikwete.
Kabla ya uteuzi huo, aliwahi kuwa Balozi wa kudumu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu (Unesco).
Pia aliwahi kufanya kazi Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za mikoa na
Serikali za Mitaa (Tamisemi), Balozi wa Tanzania nchini India,
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Reli Tanzania (TRC)
pamoja na kuwa Kamishna wa Tume ya Kurekebisha Mashirika ya Umma.
Kadhalika, aliwahi kuwa Mwenyekiti wa Shirikisho la Wenye Viwanda (CTI).
CHANZO:
NIPASHE
0787 055 080 0758 222 248
Maoni
Chapisha Maoni