RAIS KIKWETE AMPONGEZA RAIS MTEULE DKT JOHN POMBE MAGUFULI, MAMA ANNA MGHWIRA WA ACT WAZALENZO ATUMA SALAMU ZA PONGEZI
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza kwa furaha mshindi wa kinyang'anyiro
cha Urais kwa tiketi ya CCM na Rais Mteule Dkt John Pombe Joseph
Magufuli wakifurahia matokeo mara baada ya Mwenyekiti wa Tume ya
Taifa ya Uchaguzi Jaji Damian Lubuva kutangaza kutangaza rasmi matokeo
ya uchaguzi mkuu Ikulu jijini Dar es salaam ambako walifuatilia kwa
pamoja matangazo hayo ya moja kwa moja kupitia vituo vya televisheni jana
jioni Oktoba 29, 2015
Mama
Salma Kikwete akimpongeza mshindi wa kinyang'anyiro cha Urais kwa
tiketi ya CCM na Rais Mteule Dkt John Pombe Joseph Magufuli mara baada
ya Mwenyekiti wa Tais kutangaza matokeo ya uchaguzi mkuu Ikulu jijini
Dar es salaam ambako walifuatilia kwa pamoja matangazo hayo ya moja kwa
moja kupitia vituo vya televisheni jana jioni Oktoba 29, 2015
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza kwa furaha mshindi wa kinyang'anyiro cha Urais kwa tiketi ya CCM na Rais Mteule Dkt John Pombe Joseph Magufuli mara baada ya Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Damian Lubuva kutangaza kutangaza rasmi matokeo ya uchaguzi mkuu Ikulu jijini Dar es salaam ambako walifuatilia kwa pamoja matangazo hayo ya moja kwa moja kupitia vituo vya televisheni jana jioni Oktoba 29, 2015
Mshindi wa kinyang'anyiro cha Urais kwa tiketi ya CCM na Rais Mteule Dkt John Pombe Joseph Magufuli akipokea salamu za pongezi kutoka kwa mgombea Urais Mwanamke Pekee kwa tiketi ya ACT Wazlendo Mama Anna Mghira mara baada ya Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Damian Lubuva kutangaza kutangaza rasmi matokeo ya uchaguzi mkuu Ikulu jijini Dar es salaam ambako yeye na Rais Jakaya Mrisho Kikwete walifuatilia kwa pamoja matangazo hayo ya moja kwa moja kupitia vituo vya televisheni. Dkt Magufuli amemshukur sana Mama Mghwira na kumwita mkomavu wa siasa na mwana-Demokrasia wa mfano jana jioni Oktoba 29, 2015
Maoni
Chapisha Maoni