TASWIRA MBALI MBALI ZA MIKUTANO YA KAMPENI ZA MH. LOWASSA KATIKA MAJIMBO YA HANDENI NA KILINDI, JIJINI TANGA
Mgombea
Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa akiongozana na
Waziri Mkuu wa Zamani, Mh. Fredrick Sumaye pamoja na baadhi ya viongozi
wa Vyama vinavyounda UKAWA, wakiwasili katika Uwanja wa Kigoda, Mjini
Handeni, Jijini Tanga kulikofanyika Mkutano wa Kampeni leo Oktoba 22,
2015.
Mgombea
Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na
Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa
akiteta jambo na Waziri Mkuu wa Zamani, Mh. Fredrick Sumaye, katika
Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Kigoda, Mjini Handeni,
Jijini Tanga, leo Oktoba 22, 2015.
Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na
Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa,
akimsikiliza kwa makini mmoja wa watoto waliomfata kumsalimia, mara
baada ya kumaliza kuhutubia Mkutano wa hadhara wa Kampeni, katika
Uwanja wa Kigoda, Mjini Handeni, Jijini Tanga, leo Oktoba 22, 2015.
Mgombea
Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na
Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa,
akihutubia Mkutano wa hadhara wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa
Kigoda, Mjini Handeni, Jijini Tanga, leo Oktoba 22, 2015.
Maoni
Chapisha Maoni