Ruka hadi kwenye maudhui makuu

Dr. Helen Kijo Bisimba wa LHRC apata ajali

Dr. Helen Kijo Bisimba wa LHRC apata ajali

Kuna ajali imetokea mbaya sana baada ya gari la mkurugenzi wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu LHRC Dr. Hellen Kijo Bisimba Kupinduka.

Ni karibu na mataa ya Aga Khan, Dar es Salaam.

Walikuwa kwenye mataa, wamegongwa na gari kwa nyuma gari lao lika-overturn.

Amepelekwa hospitali.

Attached Thumbnails Attached Thumbnails Click image for larger version. 

Name: kijo.jpg 
Views: 0 
Size: 81.3 KB 
ID: 304614   
CHANZO JAMIIFORUMS

Maoni