Baadhi ya wananchi wilayani Kiteto mkoani Manyara wamempongeza mbunge wao Emmanuel kwa kuapishwa taya kufanya kazi kama mbunge wa Jimbo hilo baada ya kusota kwa muda mwingi bila maendeleo ya kweli....
wakizungumza katika mikutano mbalimbali ya vijiji wamesema wanamuombea Mungu ili aweze kuwaongoza
Maoni
Chapisha Maoni