Kombe la Polisi jamii Kiteto limekamilika ambapo timu ya REGGE BOYZ iliibuka mshindi dhidi ya Matui Sot Club kwa bao 2-1
Awali timu 12 zilishiriki matika mashindano hayo ambapo mshindi wa kwanza aliambulia kikombe,jezi,na mpira huku mshindi wa pili akiambulia jezi pea mbili na watatu mipira miwili
Kombe hili lilianzishwa na Polisi Kiteto CHINI ya OCD Katabazi mpenda michezo Kiteto akilenga kujenga mauhisno mema kati ya Polisi na Raia
anasema bado ana Njozi zaidi za kuendeleza michezo Kiteto...
Maoni
Chapisha Maoni