Magari yakipita katika madimbwi ya maji yaliyotokana na mvua
kubwa ya maji iliyonyesha leo kwenye mitaa ya jiji la Dar es Salaam.…
MADHARA YA MVUA KATIKA ENEO LA BAMAGA JIJINI DAR
Magari yakipita kwa tabu kwenye Barabara ya Shekilango eneo la Bamaga
jijini Dar jana jioni. Hali ilivyokuwa katika eneo la mataa ya Bamaga,
Mwenge. Maji…
2 years ago
GPL2 years ago
GPL 13 Apr12 months ago
GPLMVUA ILIYONYESHA JIJINI MWANZA YASABABISHA MAFURIKO
Nyumba zikiwa zimezingirwa na maji baada ya mafuriko hayo kutokea.
Maji yakiwa yamefurika katika moja ya mtaa ya Jiji la Mwanza.…
TASWIRA MWANANA ZA JIJINI DAR LEO BAADA YA MVUA YA LEO
Baada ya mvua ya kubwa ya kama masaa mawili mfululizo,maeneo mengi jijini Dar yamejaa maji na kupelekea adha kubwa kwa wakazi wa jiji hili.Pichani ni eneo la Morogoro Road.
Barabara ya Bibi Titi Mohamed mambo yalikuwa namna hii,wenye magari madogo walipita kwa staili ya maji ya shingo.
Matolori ya kuuzia ice creame yakionekana kununiwa leo,huku wapita njia wakiendelea kupiga mbizi kwenye maji hayo.
Hapa ndio inakuwaga kimbebe,maana daladala ndio lishabuma tena.
Hakuna namna nyingine ya kuyakwepa...
6 months ago
GPLTASWIRA YA MVUA JIJINI DAR LEO
Namna hali ilivyo leo katika barabara ya Morogoro road eneo la
Jangwani. Baadhi ya nyumba katika eneo la Kinondoni Mkwajuni jijini
Dar zilizo bondeni zikiwa zimevamiwa na maji ya mvua.…
12 months ago
GPLMVUA ILIYONYESHA BAGAMOYO YASABABISHA MAFURIKO
Hizi ni picha tofauti zikienesha taswira ya mvua iliyonyesha Bagamoyo
alfajiri ya leo na kusababisha mafuriko. Hayo ni maji yaliyojaa stendi
ya mabasi ya…
Mvua zaleta madhara kwenye reli ya Dar-Tanga-MOshi
Sehemu ya njia ya reli katika eneo la Ming’ongo ikiwa inaning’inia baada
ya tuta kusombwa na maji kutokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha
katika mikoa mbalimbali nchini Tanzania. Mkurugenzi Mtendaji wa
Kampuni ya Reli Tanzania (TRL), Kipalo Amani Kisamfu pamoja na
wakurugenzi kutoka Wizara ya Uchukuzi wametembelea eneo hilo leo
mchana kuona athari kubwa iliyotokea kwenye njia ya reli. Aidha, katika
njia hiyo kilomita kumi na nane za njia ya reli zimeaharibiwa na mvua
hizo...
Maoni
Chapisha Maoni