NA MOHAMED HAMAD
MVUA ZINAZOENDELEA KUNYESHA HAPA NCHINI ZIMEANZA KULETA MADHARA KWA WANANCHI WILAYANI KITETO BAADA YA MTOTO AIMANA DHAMADHAN (6) KUPOTEZA MAISHA KWA KUTUMBUKIA KWENYE DIMBWI
BABA WA MTOTO HUYO AKIZUNGUMZA NA DIRA AMESEMA, MTOTO WAKE AKIWA NA WENZAKE WAKICHEZA ALITUMBUKIA NDANI YA DIMBWI LA SHULE AMBAPO WATOTO WENZAKE WALISHINDWA KUMWOKOA KUTOKANA NA UDOGO WAO
ALISEMA DIMBWILO LIPO SHULE YA NDALETA AMBAPO ALIDAI NI LA MUDA MREFU HALIKUFUKIWA HIVYO SIKU HIYO BAADA YA KUNYESHA KVUA WATOTO WALIFIKA HAPO NA NDIPO WAKATUMBUKIA
KWA KUNJIBU WA MWENYEKITI WA KIJIJI CHA NDELETA IJUMAA BAKARI ALIKIRI KUTOKEA TUKIO HILO NA KUWATAKA WANANCHI KUCHUKUA TAHADHARI JUU YA MVUA HIZO AMBAZO ZINANYESHA
MTOTO HUYO NI WA PILI MWAKA HUU BAADA YA MWINGINE KURIPOTIWA KUSOMBWA NA MAJI WAKATI AKIVUSHA MIFUGO YAO AKITOKA KUCHUNGA HIVI KARIBUNI KATIKA KATA YA MATUI WILAYANI HUMO
MWISHO
Maoni
Chapisha Maoni