MAGUFULI AZIDI KUWEKA CHINI MSINGI MPYA WA UONGOZI WA SERIKALI YAKE LIVE!!

"Tumekuwa wakali sana kwenye safari za nje na hatutaruhusu tena safari hizo bila sababu, naomba niseme takwimu za hesabu za safari ya nje kwa Miaka ya 2013 - 2014:- Serikali ilitumia Tsh. Billioni 359. Kati ya hizi Billioni 183 kwa ajili ya tiketi za ndege kwenda nje, Mafunzo Tsh. Billioni 68, Posho Tsh. Billioni 104. Na walio ongoza kwa matumizi ya safari za nje ni Bunge, Wizara ya Nje, Wizara ya Fedha, Ofisi ya Waziri Mkuu, na hata Tume ya Ukaguzi wa mahesabu." - Dr. Magufuli Bungeni sasa hivi!

Maoni