Rais Dk. Magufuli afanya ziara ya kushtukiza wizara ya Fedha
Pata kiungo
Facebook
X
Pinterest
Barua pepe
Programu Nyingine
Atembea kwa miguu kutoka Ikulu, avamia Wizara ya fedha, Wafanyakazi washangaa. Akagua ofisi chumba kwa chumba.
Siku ya Kwanza baada ya kuapishwa, Rais Dk. Magufuli amefanya ziara ya
kushtukiza wizarani na kukagua ofisi kwa ofisi, kakuta Maofisa wengi wa
Serikali hawapo kazini.
Maoni
Chapisha Maoni