WENYE TABIA HII NDIYO WANAONGOZA
Wanawake wengi wanaoongoza kwa kushika mimba za mapacha ni wale ambao wakati wa kulala wanabadili staili mara kwa mara.
Mara nyingi inashauriwa kuwa, mwanamke akishaingia kwenye siku zake za hatari kulingana na mzunguko wake wa hedhi, akutane kimwili na mumewe au mwanaume anayetaka kuzaa naye.
Baada ya tendo la ndoa, mwanamke anashauriwa kulala kwa kujigeuzageuza kitandani. Hapa namaanisha kwamba, akiwa amelala, ajigeuze kuangalia juu, kulalia ubavu wa kulia, kushoto, kulala kifudifudi kwa usiku kucha.
Fanya hivi kwa kurudiarudia siku kadhaa katika kipindi hicho cha hatari, hapo uwezekano wa kushika mimba ya mapacha utakuwa mkubwa sana.
Maoni
Chapisha Maoni