UTEUZI WA MADIWANI WANAWAKE WA VITI MAALUM Kwa mujibu wa Kifungu cha 86 A (8)


Jaji Lubuva

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

cha Sheria ya Uchaguzi Serikali za
Mitaa Sura ya 292,
(Uchaguzi wa Madiwani)
kiki
somwa kwa pamoja na
Vifungu vya
35 (1) (c)
na
19 (1) (c)
vya Sheria za Serikali za Mitaa (Tawala za
Wilaya) na Na. 7 ya mwaka 1982 na Serikali za Mitaa (Tawala za Miji) Na. 8
ya mwaka 1982, Tume ya Taifa ya Uchaguzi imepewa mamlaka ya
kushughulikia na kut
angaza Viti Maalum vya Madiwani Wanawake
visivyopungua 1/3 ya Madiwani wa kuchaguliwa katika kila Halmashauri.
Kwa kuwa
Kata
3,957
zili
fanya
Uchaguzi Mkuu 2015 hivyo
1/3 ya
Viti
Maalum vya Madiwani Wanawake ni
1,406.
Hata hivyo, Tume haikuweza
kugawa Viti
vyote katika Halmashauri kutokana na kuahirishwa kwa
Uchaguzi wa
baadhi ya
Kata
k
atika
baadhi ya
Halmashauri
nchini
.
Mgawanyo wa viti
vilivyobaki utafanyika
mara baada ya chaguzi
zilizoahirishwa kufanyika.
Vyama vya Siasa vilivyoshiriki Uchaguzi Mkuu kwa
upande wa
Madiwani na
kukidhi vigezo vya kisheria vya kupata Viti Maalum ni kama
ifuatavyo:
-
2
NA.
JINA LA CHAMA
IDADI
YA
VITI
1.
CCM
1,021
2.
CHADEMA
280
3.
CUF
79
4.
ACT
6
5.
NCCR
-
Mageuzi
6
Jumla ya Viti vilivyogawanywa ni
1,392.
Viti 14
vil
ivyosalia
vitagawanywa mara baada ya Kata
zilizoahirishiwa
Uchaguzi
kukamili
sha zoezi la kupiga Kura.
Majina ya Madiwani Wanawake wa Viti Maalum kwa kila Halmashauri
walioteuliwa yata
weza kupatikana kutoka
Vyama na
kwenye
Halmashauri
husika
.
Aidha tarehe
1
4
/11/2015, Tume ya Taifa ya Uchaguzi itatangaza
majina ya Madiwani wa Viti Maalum walioteuliwa.
Ikumbukwe kuwa Tume
imefanya uteuzi kwa kuzingatia
Orodha iliyowasilishwa Tume na kila Chama
kwa kuzingatia vipaumbele vya Chama husika
.
Imetolewa na:
Jaji
(Mst.) Damian Z. Lubuva
MWENYEKITI
TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI
12/11/201

Maoni