Maajabu yajitokeza Chemba, ardhi yapasuka wananchi wakimbia makazi yao

Taharuki kwa wananchi wa Olboloti wilayani Chemba imetanda baada ya ardhi kupasuka na kusababisha madhara kwa wananchi yakiwemo nyumba zao kuanguka na kuacha makazi kwa hofu ya kuzama..kwenye maeneo hayo
LikeToa maoni






CHANZO GAZETI LA MTANZANIA

Maoni