Ruka hadi kwenye maudhui makuu

Yanayojiri katika kula Kiapo kwa Mawaziri wa Serikali ya Awamu ya Tano, Ikulu Dar es Salaam


Leo Rais Magufuli anawaapisha rasmi Mawaziri wa Wizara tofauti aliowachagua.

Kiapo kimeanza Sasa hivi, aliyeanza ni Dkt. Hussein Mwinyi.

Tukio hilo linaendelea Ikulu Jijini Dar.

CHANZO JAMIIFORUMS

Maoni