Madiwani Kiteto wakifuatilia kikao
Baadhi ya watumishi wa halmashauri ya wilaya ya Kiteto wakifuatilia kikao cha baraza la madiwani
Madiwani Kiteto wakifuatilia kikao
Madiwani Kiteto wakifuatilia kikao
Mmoja wa madiwani Kiteto akiwasilisha taarifa ya kata kama ulivyo utaratibu wa kila diwani Kiteto kuwasilisha taarifa zake
NA MOHAMED HAMAD
KIKAO cha baraza la madiwani Kiteto wakitoa taarifa zao za kazi, kwa kila kata ambapo hufanyika kabla ya kufanyika baraza rasmi..pamoja na mambo mengine miradi mbalimbali imedaiwa kutekelezwa
kuhusu miradi ya maji imeelezwa kuwa inasuasua kutokana na Serikali kutotoa fedha kwa wakati hivyo kuwafanya wakandarasi kutokuwa maeneo husika kukamilisha miradi hiyo
Maoni
Chapisha Maoni