DC Kiteto agiza idara za Kilimo na Mifugo kuwa suluhisho la migogoro ya ardhi

Mkuu wa Wilaya ya Kiteto, Mhandisi Tumaini Magesa, ameziagiza Idara za Kilimo na Mifugo kumalima tofauti za wakulima na wafugaji.

Magesa aliyasema hayo kuwa Idara hizo zimeonekana kutofanya kazi zao ipasavyo kwa kushindwa kuwatumikia wananchi.

Hapa watalamu wa Kilimo na mifugo wangefanya kazi zao vilivyo, haya tusinge yaona ya wakulima na wafugaji

Kwa miaka kadhaa sasa kila kukicha watumishi wa Serikali ni kufikiria namna ya kutatua migogoro badaka ya shughuli zingine za maendekeo

Mwisho..

Maoni