DC Same akikagua viroba viwili vya mirungi, vilivyopatikana kwenye basi lililokuwa likitoka Rombo kuelekea Dar es salaam.
Ambapo polisi Same walifanikiwa kumshika msafirishaji wa mirungi hiyo na kumtia hatiani.
Mirungi hiyo ilichanganywa na ndizi kama vile ni ndizi zinasafirishwa.
Tukio hilo lilitokea Tar. 20/03/2018
Maoni
Chapisha Maoni