Mkakati wa kuboresha elimu nchini

Makamu mwenyekiti wa wamiliki wa shule binafsi nchini, Mhe Ester Mahawe kupitia Asasi ya (TAPIE Tanzania Association of Private Investors  in Education) kulia akiwa na viongozi wa Sekta ya elimu nchini.

Wengine ni katibu mkuu Wizara ya Elimu Dr. Akwilapo, mhe Jason Rweikiza mb wa bukoba vijiini na mhe. Philip Mulugo mbunge wa Songwe.

Ni wadau wa elimu wakiwa katika mikakati mbalimbali ya kuboresha sekta hii ambayo inaonekana kukabiliwa na changamoto lukuki

Mkakati huo ulizaa kuundwa kamati ya pamoja ya wadau wa elimu na viongozi wa wizara ambapo mwenyekiti wake ni Kamishna wa elimu.

Kamati imehusisha wamiliki w shule za makanisa, Bakwata Tapie na Tamongsco. Lengo ni kutatua Changamoto za uendeshwaji na Udhibiti ubora wa Elimu nchini.

Maoni