Mbunge Babati ashereheka na watoto yatima

Mbunge wa viti maalum wa Mkoa wa Manyara, mhe Ester Mahawe na uongozi wa UWT Wilayani Simanjiro, katika kusherehekea siku ya wanawake duniani wamekula chakula cha mchana na watoto yatima wa kituo cha Light in Africa kilichopo mji mdogo wa Mirerani.

Katika hatua hiyo amewataka kutokata tamaa ya maisha na badala yake amewataka kutambua kuwa hiyo ni mipango ya Mungu

Amesema Serikali ya chama cha mapinduzi inatambua makundi yote na has a walemavu akidai ndio maana wana 2% katika mapato ya halmashauri kila mwaka

Mwisho

Maoni