Miradi ya ujenzi wa barabara itazamwe kwa jicho pevu

Wakati mwingine wanapolalamika kwananchi, kuhusu miradi yao ya maendeleo wasipuuzwe.

Huwezi kuamini hapa ni makao makuu ya Wilaya ya Kiteto, yaani Kibaya lakini kinachofanyika ni hicho anachoonyesha Mwananchi huyo katika Picha

Huu ni mfano tu ila ukiingia ndani zaidi katika miradi hii, utachukia kisha utafurahi kwa kuamini kuwa wahusika baada ya kuwapa taarifa watatekeleza

Lakini ndio utasikia tuko katika mchakato, naamini wahusika mmesoma posti hii, wananchi wanawaona na kuwaamini kuwa mtafanya vyema ila msipowajibika mimi sipo..

Maoni