MAKAMU WA RAIS AMWAKILISHA RAIS LONDON

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anaondoka nchini leo kwenda London, Uingereza kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Serikali wa Jumuiya ya Madola (CHOGM) unaotarajiwa kufanyika kuanzia Aprili 16 hadi 20 mwaka huu,

Ziara hii anamwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli.

Maoni