Jeshi LA Polisi Wilayani Kiteto limejiandaa kukabialiana na watu watakao jihusidha na maandamano haramu tar 26.4.2018
Taatifa za uhakika zinaeleza kuwa maandamano hayo ni batili, na kwamba watakao jihusisha nayo watakamatwa na kufikishwa mahakamani
Katika hatua hiyo vijana wa Polisi Kiteto wakiwa tayari kukabiliana na hali hiyo walionekana mjini Kibaya kurandaranda kulinda usalama wa RAIA na Mali zao
Baadhi ya wananchi Kiteto wakizungumza na mwanganamatukio walisema wanasikia maandamano mitandao hawana mpango kwakuwa hawajui wataandamana kwaajili ya nini.
Maoni
Chapisha Maoni