WAZIRI WA NISHATI AONGEZA MATUMAINI WILAYANI SAME

WAZIRI WA NISHATI AONGEZA MATUMAINI WILAYANI SAME

💡Waziri wa Nishati Mh. Dr. Medard Kalemani amezindua umeme wa REA III Kwa kuwasha umeme eneo la maguzo mawili kata ya Kisiwani.

Aagiza vijiji  Na vitongoji vyote kata ya Kisiwani Na Ndungu kuwekewa umeme.

Aridhia Maombi ya kitongoji cha Gombelesa kufikishiwa umeme ndani ya siku mbili.

Amuagiza mkandarasi kumaliza kazi miezi miwili kabla ya muda Na Hakuna muda wa nyongeza. Kuunganisha maeneo yote ya taasisi.
Asisitiza utunzaji wa miundombinu.

Awapongeza wabunge kwa kuwajali wananchi wao ( Mh. Dr. Mollel Mb. Wa Siha Na Mh. Anna Kilango) wahudhuria hafla hiyo.

Mkt. Wa CCM Mkoa Ndugu Boisafi apongeza juhudi za serikali kutekeleza ilani ya CCM. Viongozi wa CCM Mkoa Na Wilaya washiriki.

💡Kwa niaba ya wananchi DC wa Same Mh. Rosemary Senyamule amemshukuru Mh. Dr John Pombe Magufuli-  Rais wa Tanzania pamoja Na Wizara ya Nishati kwa kazi hiyo kubwa Na ameahidi kuendelea kuwahamasisha wananchi wengi zaidi kuunganisha umeme Na kuutumia kwa manufaa ya kiuchumi pia.

Aomba mkandarasi kuweka imara nguzo ili kuepuka nguzo kuanguka kutokana Na jiografia ya Same.

Amekuwa ni Waziri wa kwanza kufika kitongoji cha Kampimbi.

Maoni